sw_tn/luk/12/37.md

24 lines
760 B
Markdown

# Wamebarikiwa
"Ni vizuri kama nini"
# ambao bwana atawakuta wako macho akirudi
"wale ambao bwana wao atawakuta wakimngoja atakapo rudi" au "Walio tayari bwana akirudi"
# atafunga ..atawaketisha chini
Kwasabu watumishi wamekuwa waaminifu na wako tayari kumuhudumia bwana wao, bwana atawalipa kwa kuwahudumia wao.
# atafunga nguo yake refu na mkanda
'atajiandaa kuwahudumia wao kwa kufunga nguo yake na mkanda" au " atavaa tayari kuwahudumia"
# kwa zamu ya pili ya ulinzi ya usiku
zamu ya pili ya ulinzi ni kati ya saa 3:00 usiku na saa 6:00 usiku. "karibu na usiku wa manane" au "kabla ya usiku wa manane"
# au kwa zamu ta tatu ya ulinzi
zamu ya tatu ya ulinzi ni kuanzia saa 6:00 usiku na na saa 9:00 usiku. Au "akija akiwa amechelewa sana usiku"