# Wamebarikiwa "Ni vizuri kama nini" # ambao bwana atawakuta wako macho akirudi "wale ambao bwana wao atawakuta wakimngoja atakapo rudi" au "Walio tayari bwana akirudi" # atafunga ..atawaketisha chini Kwasabu watumishi wamekuwa waaminifu na wako tayari kumuhudumia bwana wao, bwana atawalipa kwa kuwahudumia wao. # atafunga nguo yake refu na mkanda 'atajiandaa kuwahudumia wao kwa kufunga nguo yake na mkanda" au " atavaa tayari kuwahudumia" # kwa zamu ya pili ya ulinzi ya usiku zamu ya pili ya ulinzi ni kati ya saa 3:00 usiku na saa 6:00 usiku. "karibu na usiku wa manane" au "kabla ya usiku wa manane" # au kwa zamu ta tatu ya ulinzi zamu ya tatu ya ulinzi ni kuanzia saa 6:00 usiku na na saa 9:00 usiku. Au "akija akiwa amechelewa sana usiku"