sw_tn/luk/12/35.md

604 B

Kauli ya jumla

Yesu alianza kuelezea mfano

nguo zenu refu zifungwe na mkanda

Watu walivaa mavazi marefu. Walikuwa wakifunga na mkanda ili kuwafanya waweze kutembea njiani . " Funga nguo zako na mkanda ili uweze kuhudumia" au Uvae na uwe tayari kuhudumia"

taa zenu zihakikishwe kuwa zinaendelea kuwaka

"Fanyeni taa zenu ziendelee kuwaka"

muwe kama watu wanaomtazamia Bwana wao

Hii unafananishwa na jinsi wanafunzi wanavyotakiwa kuwa tayari kwa Yesu kurudi kama watumishi walio tayari kwa bwana wao kurudi.

kutoka kwenye karamu ya harusi

"kurudi nyumbani kutoka kwenye karamu ya harusi"