# Kauli ya jumla Yesu alianza kuelezea mfano # nguo zenu refu zifungwe na mkanda Watu walivaa mavazi marefu. Walikuwa wakifunga na mkanda ili kuwafanya waweze kutembea njiani . " Funga nguo zako na mkanda ili uweze kuhudumia" au Uvae na uwe tayari kuhudumia" # taa zenu zihakikishwe kuwa zinaendelea kuwaka "Fanyeni taa zenu ziendelee kuwaka" # muwe kama watu wanaomtazamia Bwana wao Hii unafananishwa na jinsi wanafunzi wanavyotakiwa kuwa tayari kwa Yesu kurudi kama watumishi walio tayari kwa bwana wao kurudi. # kutoka kwenye karamu ya harusi "kurudi nyumbani kutoka kwenye karamu ya harusi"