sw_tn/luk/12/35.md

20 lines
604 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli ya jumla
Yesu alianza kuelezea mfano
# nguo zenu refu zifungwe na mkanda
Watu walivaa mavazi marefu. Walikuwa wakifunga na mkanda ili kuwafanya waweze kutembea njiani . " Funga nguo zako na mkanda ili uweze kuhudumia" au Uvae na uwe tayari kuhudumia"
# taa zenu zihakikishwe kuwa zinaendelea kuwaka
"Fanyeni taa zenu ziendelee kuwaka"
# muwe kama watu wanaomtazamia Bwana wao
Hii unafananishwa na jinsi wanafunzi wanavyotakiwa kuwa tayari kwa Yesu kurudi kama watumishi walio tayari kwa bwana wao kurudi.
# kutoka kwenye karamu ya harusi
"kurudi nyumbani kutoka kwenye karamu ya harusi"