sw_tn/luk/12/29.md

16 lines
450 B
Markdown

# Msisumbukie juu ya kuwa mtakula nini au mtakunywa nini
"usitazame zaidi juu ya kula na kunywa" au "Msiwe na tamaa zaidi ya kula na kunywa"
# mataifa yote ya dunia
Hapa "mataifa" inamaanisha "wasio amnini" "Watu wote wa mataifa mengine" au "watu wote wasio amini duniani"
# Baba yenu anajua ya kuwa mnahitaji vitu hivyo
Baba wa Yesu, Mungu Baba, pia hufanyika Baba wa wote watakao muamini Yesu.
# Baba
Hii ni sifa muhimu sana kwa Mungu.