sw_tn/luk/12/29.md

450 B

Msisumbukie juu ya kuwa mtakula nini au mtakunywa nini

"usitazame zaidi juu ya kula na kunywa" au "Msiwe na tamaa zaidi ya kula na kunywa"

mataifa yote ya dunia

Hapa "mataifa" inamaanisha "wasio amnini" "Watu wote wa mataifa mengine" au "watu wote wasio amini duniani"

Baba yenu anajua ya kuwa mnahitaji vitu hivyo

Baba wa Yesu, Mungu Baba, pia hufanyika Baba wa wote watakao muamini Yesu.

Baba

Hii ni sifa muhimu sana kwa Mungu.