# Msisumbukie juu ya kuwa mtakula nini au mtakunywa nini "usitazame zaidi juu ya kula na kunywa" au "Msiwe na tamaa zaidi ya kula na kunywa" # mataifa yote ya dunia Hapa "mataifa" inamaanisha "wasio amnini" "Watu wote wa mataifa mengine" au "watu wote wasio amini duniani" # Baba yenu anajua ya kuwa mnahitaji vitu hivyo Baba wa Yesu, Mungu Baba, pia hufanyika Baba wa wote watakao muamini Yesu. # Baba Hii ni sifa muhimu sana kwa Mungu.