sw_tn/luk/12/22.md

20 lines
525 B
Markdown

# Kauli inayounganisha
Yesu aliendelea kuwafundisha wanafunzi wake mbele ya umati.
# Kwahiyo
"kwasababu hiyo" au " kwasababu ya mafundisho ya hadihi hii"
# Nawaambia
"Nataka niwaambie kitu muhimu"au "Inabidi msikilize kwa umakini juu ya hili"
# juu ya maisha yenu-ya kuwa mtakula nini
"kuhusu maisha yenu na nini mtakula" au " kuhusu kuwa na chakula cha kutosha ili muweze kuishi"
# juu ya miili yenu -ya kuwa mtavaa nini
"kuhusu miili yenu na nini mtavaa" au " kuhusu kuwa na nguo za kutosha za kuvisha miili yenu"