sw_tn/luk/12/22.md

525 B

Kauli inayounganisha

Yesu aliendelea kuwafundisha wanafunzi wake mbele ya umati.

Kwahiyo

"kwasababu hiyo" au " kwasababu ya mafundisho ya hadihi hii"

Nawaambia

"Nataka niwaambie kitu muhimu"au "Inabidi msikilize kwa umakini juu ya hili"

juu ya maisha yenu-ya kuwa mtakula nini

"kuhusu maisha yenu na nini mtakula" au " kuhusu kuwa na chakula cha kutosha ili muweze kuishi"

juu ya miili yenu -ya kuwa mtavaa nini

"kuhusu miili yenu na nini mtavaa" au " kuhusu kuwa na nguo za kutosha za kuvisha miili yenu"