sw_tn/luk/12/06.md

24 lines
556 B
Markdown

# Je shomoro watano hawauzwi kwa senti mbili?
Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi
# Shomoro
Ni ndege wadogo sana wenye kula mbegu
# hakuna mmoja wao atakayesahaulika mbele za Mungu
"Mungu hajawahi kusahau mmoja wao". "Mungu kwa uhakika anakumbuka kila shomoro"
# hata nywele za vichwa vyenu vimehesabiwa
"Mungu anajua hata idadi ya nywele zilizoko kichwani mwako"
# Msiogope
"Msiwaogope watu" au "Msiwaogope watu watakao waujeruhi ninyi"
# Ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.
"Mungu anawathamini ninyi kuliko mashomoro wengi"