sw_tn/luk/12/06.md

556 B

Je shomoro watano hawauzwi kwa senti mbili?

Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi

Shomoro

Ni ndege wadogo sana wenye kula mbegu

hakuna mmoja wao atakayesahaulika mbele za Mungu

"Mungu hajawahi kusahau mmoja wao". "Mungu kwa uhakika anakumbuka kila shomoro"

hata nywele za vichwa vyenu vimehesabiwa

"Mungu anajua hata idadi ya nywele zilizoko kichwani mwako"

Msiogope

"Msiwaogope watu" au "Msiwaogope watu watakao waujeruhi ninyi"

Ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.

"Mungu anawathamini ninyi kuliko mashomoro wengi"