# Je shomoro watano hawauzwi kwa senti mbili? Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi # Shomoro Ni ndege wadogo sana wenye kula mbegu # hakuna mmoja wao atakayesahaulika mbele za Mungu "Mungu hajawahi kusahau mmoja wao". "Mungu kwa uhakika anakumbuka kila shomoro" # hata nywele za vichwa vyenu vimehesabiwa "Mungu anajua hata idadi ya nywele zilizoko kichwani mwako" # Msiogope "Msiwaogope watu" au "Msiwaogope watu watakao waujeruhi ninyi" # Ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. "Mungu anawathamini ninyi kuliko mashomoro wengi"