sw_tn/luk/11/49.md

807 B

Kwasababu hiyo

Hii inarejea sentensi iliyofuata, Mungu atawatuma manabii wengi ili kuonesha kuwa kizazi hiki kitawauwa, kama walivyofanya baba zao.

Hekima ya Mungu inasema

"Mungu kwa hekima yake alisema" au "Mungu alisema kwa hekima"

Nitawatumia manabii na mitume

"Nitawatumia manabii na mitume watu wangu"

watawatesa na kuwauwa baadhi yao

"watu wangu watawatesa na kuwauwa baadhi ya manabii na mitume"

Kizazi hiki, kitawajibika na damu iliyomwagwa ya manabi wote.

Damu iliyomwagwa inamaanisha mauwaji ya manabii. "Kwa hiyo Mungu atawajibisha kizazi hiki kwa kifo cha manabii wote ambao watu wamewauwa"

Zakaria

Huyu ni kuhani wakati wa Agano la kale aliyewakemea watu wa israeli kwa habari ya usinzi. Huyu siye Baba wa Yohana Mbatizaji.

ambaye ameuwawa

"ambaye watu walimuuwa"