sw_tn/luk/11/49.md

28 lines
807 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwasababu hiyo
Hii inarejea sentensi iliyofuata, Mungu atawatuma manabii wengi ili kuonesha kuwa kizazi hiki kitawauwa, kama walivyofanya baba zao.
# Hekima ya Mungu inasema
"Mungu kwa hekima yake alisema" au "Mungu alisema kwa hekima"
# Nitawatumia manabii na mitume
"Nitawatumia manabii na mitume watu wangu"
# watawatesa na kuwauwa baadhi yao
"watu wangu watawatesa na kuwauwa baadhi ya manabii na mitume"
# Kizazi hiki, kitawajibika na damu iliyomwagwa ya manabi wote.
Damu iliyomwagwa inamaanisha mauwaji ya manabii. "Kwa hiyo Mungu atawajibisha kizazi hiki kwa kifo cha manabii wote ambao watu wamewauwa"
# Zakaria
Huyu ni kuhani wakati wa Agano la kale aliyewakemea watu wa israeli kwa habari ya usinzi. Huyu siye Baba wa Yohana Mbatizaji.
# ambaye ameuwawa
"ambaye watu walimuuwa"