sw_tn/luk/11/47.md

391 B

ambao

Hii huwafanya kuona utofauti kati yao kwa namna wanavyo waheshimu manabii wakati wakipuuza ukweli kuwa wababu zao ndio waliowauwa.

hivyo ninyi mwashuhudia na kukubaliana

Yesu aliwakemea Mafarisayo na waalimu wa sheria . Walijua mauwaji ya manabii, lakini hawakushutumu wala kuwalaani wababu zao kwa kuwauwa. " kwahiyo, badala ya kuwakana wao, ninyi mwashuhudia na kukubaliana "