# ambao Hii huwafanya kuona utofauti kati yao kwa namna wanavyo waheshimu manabii wakati wakipuuza ukweli kuwa wababu zao ndio waliowauwa. # hivyo ninyi mwashuhudia na kukubaliana Yesu aliwakemea Mafarisayo na waalimu wa sheria . Walijua mauwaji ya manabii, lakini hawakushutumu wala kuwalaani wababu zao kwa kuwauwa. " kwahiyo, badala ya kuwakana wao, ninyi mwashuhudia na kukubaliana "