sw_tn/luk/11/39.md

20 lines
590 B
Markdown

# Habari ya jumla
Yesu alianza kuongea na mafarisayo
# nje ya vikombe na bakuli
Kuoasha nje ya vyombo ilikuwa ni sehemu ya mazoea ya ibada kwa Wafarisayo
# lakini ndani yenu mmejaa tamaa na uovu.
Hii inafananishwa na njinzi wanavyosahau ndani ya vyombo na wanavyosahau maisha yao ya ndani.
# Je yeye aliyeumba nje hakuumba na ndani pia?
Yesu alitumia swali kuwakemea Mafarisayo kwa kutojua ya kuwa kile kilichoko ndani ya miyoyo yao inajalisha kwa Mungu.
# Wapeni maskini yaliyo ndani
"Wapeni Maskini kile kilichoko ndani ya vikombe na bakuli" au " Muwe wakarimu kwa watu maskini"