sw_tn/luk/11/39.md

590 B

Habari ya jumla

Yesu alianza kuongea na mafarisayo

nje ya vikombe na bakuli

Kuoasha nje ya vyombo ilikuwa ni sehemu ya mazoea ya ibada kwa Wafarisayo

lakini ndani yenu mmejaa tamaa na uovu.

Hii inafananishwa na njinzi wanavyosahau ndani ya vyombo na wanavyosahau maisha yao ya ndani.

Je yeye aliyeumba nje hakuumba na ndani pia?

Yesu alitumia swali kuwakemea Mafarisayo kwa kutojua ya kuwa kile kilichoko ndani ya miyoyo yao inajalisha kwa Mungu.

Wapeni maskini yaliyo ndani

"Wapeni Maskini kile kilichoko ndani ya vikombe na bakuli" au " Muwe wakarimu kwa watu maskini"