# Habari ya jumla Yesu alianza kuongea na mafarisayo # nje ya vikombe na bakuli Kuoasha nje ya vyombo ilikuwa ni sehemu ya mazoea ya ibada kwa Wafarisayo # lakini ndani yenu mmejaa tamaa na uovu. Hii inafananishwa na njinzi wanavyosahau ndani ya vyombo na wanavyosahau maisha yao ya ndani. # Je yeye aliyeumba nje hakuumba na ndani pia? Yesu alitumia swali kuwakemea Mafarisayo kwa kutojua ya kuwa kile kilichoko ndani ya miyoyo yao inajalisha kwa Mungu. # Wapeni maskini yaliyo ndani "Wapeni Maskini kile kilichoko ndani ya vikombe na bakuli" au " Muwe wakarimu kwa watu maskini"