sw_tn/luk/11/33.md

1.2 KiB

Kauli unayounganisha

Yesu alimaliza kuwafundisha makutano

Kuweka sehemu ya chini yenye giza

"kuficha kwenye sehemu iliyofichika"

Ila Juu ya kitu

"ila wanaweka juu ya meza" au " Ila wanaweka juu ya kabati"

Jicho lako ni taa ya mwili

Hii imewasilishwa na mafumbo tofauti. Jicho hufananishwa na Maono, ambayo ni mfano wa kuelewa. Mwili ni kiwakilishi cha maisha ya Mwanadamu. " Jicho lako ni taa ya maisha yako" au "Maono yako ni taa ya maisha yako" Kwasababu Yesu alikuwa anaongea kitu ambacho ni kweli kwa kila mtu, inaweza ikatafsiriwa kama " Jicho ni taa ya mwili wa mwanadamu"

Jicho lako likiwa zuri

" Maono yako yakiwa mazuri" au "ukiona vema"

mwili wako wote utakuwa kwenye mwanga

Yesu aliongelea kweli kama mwanga . "mwanga wa kweli utakuwa maishani mwako" Au "Maisha yako yote utakuwa na mwanga"

jicho lako likiwa baya , mwili wako wote utakuwa kwenye giza.

Yesu aliongelea habari ya kuwa katika uongo kama vile ni kuwa katika giza. " Maono yako yakiwa mabaya, basi maisha yako yote yanajawa na giza"

mwili wako wote utakuwa sawa na mwanga utouo mwango kwenu.

Yesu aliongea watu ambao wamejawa na kweli kama vile taa iwakavyo na kutoa mwanga wote.