# Kauli unayounganisha Yesu alimaliza kuwafundisha makutano # Kuweka sehemu ya chini yenye giza "kuficha kwenye sehemu iliyofichika" # Ila Juu ya kitu "ila wanaweka juu ya meza" au " Ila wanaweka juu ya kabati" # Jicho lako ni taa ya mwili Hii imewasilishwa na mafumbo tofauti. Jicho hufananishwa na Maono, ambayo ni mfano wa kuelewa. Mwili ni kiwakilishi cha maisha ya Mwanadamu. " Jicho lako ni taa ya maisha yako" au "Maono yako ni taa ya maisha yako" Kwasababu Yesu alikuwa anaongea kitu ambacho ni kweli kwa kila mtu, inaweza ikatafsiriwa kama " Jicho ni taa ya mwili wa mwanadamu" # Jicho lako likiwa zuri " Maono yako yakiwa mazuri" au "ukiona vema" # mwili wako wote utakuwa kwenye mwanga Yesu aliongelea kweli kama mwanga . "mwanga wa kweli utakuwa maishani mwako" Au "Maisha yako yote utakuwa na mwanga" # jicho lako likiwa baya , mwili wako wote utakuwa kwenye giza. Yesu aliongelea habari ya kuwa katika uongo kama vile ni kuwa katika giza. " Maono yako yakiwa mabaya, basi maisha yako yote yanajawa na giza" # mwili wako wote utakuwa sawa na mwanga utouo mwango kwenu. Yesu aliongea watu ambao wamejawa na kweli kama vile taa iwakavyo na kutoa mwanga wote.