sw_tn/luk/11/33.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli unayounganisha
Yesu alimaliza kuwafundisha makutano
# Kuweka sehemu ya chini yenye giza
"kuficha kwenye sehemu iliyofichika"
# Ila Juu ya kitu
"ila wanaweka juu ya meza" au " Ila wanaweka juu ya kabati"
# Jicho lako ni taa ya mwili
Hii imewasilishwa na mafumbo tofauti. Jicho hufananishwa na Maono, ambayo ni mfano wa kuelewa. Mwili ni kiwakilishi cha maisha ya Mwanadamu. " Jicho lako ni taa ya maisha yako" au "Maono yako ni taa ya maisha yako" Kwasababu Yesu alikuwa anaongea kitu ambacho ni kweli kwa kila mtu, inaweza ikatafsiriwa kama " Jicho ni taa ya mwili wa mwanadamu"
# Jicho lako likiwa zuri
" Maono yako yakiwa mazuri" au "ukiona vema"
# mwili wako wote utakuwa kwenye mwanga
Yesu aliongelea kweli kama mwanga . "mwanga wa kweli utakuwa maishani mwako" Au "Maisha yako yote utakuwa na mwanga"
# jicho lako likiwa baya , mwili wako wote utakuwa kwenye giza.
Yesu aliongelea habari ya kuwa katika uongo kama vile ni kuwa katika giza. " Maono yako yakiwa mabaya, basi maisha yako yote yanajawa na giza"
# mwili wako wote utakuwa sawa na mwanga utouo mwango kwenu.
Yesu aliongea watu ambao wamejawa na kweli kama vile taa iwakavyo na kutoa mwanga wote.