sw_tn/luk/11/32.md

308 B

Watu wa Ninawi watasimama katika hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki na kuwahukumu

"Watu wa Ninawi watasimama na kuwahukumu watu wa nyakati na kuwalaani."

kwani walitubu

"watu wa Ninawi walitubu"

Yuko aliye mkuu kuliko Yona

Yesu alijiongelea mwenyewe. "Mimi ni mkuu kuliko Yona lakini hamkutubu"