# Watu wa Ninawi watasimama katika hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki na kuwahukumu "Watu wa Ninawi watasimama na kuwahukumu watu wa nyakati na kuwalaani." # kwani walitubu "watu wa Ninawi walitubu" # Yuko aliye mkuu kuliko Yona Yesu alijiongelea mwenyewe. "Mimi ni mkuu kuliko Yona lakini hamkutubu"