sw_tn/luk/11/32.md

12 lines
308 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Watu wa Ninawi watasimama katika hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki na kuwahukumu
"Watu wa Ninawi watasimama na kuwahukumu watu wa nyakati na kuwalaani."
# kwani walitubu
"watu wa Ninawi walitubu"
# Yuko aliye mkuu kuliko Yona
Yesu alijiongelea mwenyewe. "Mimi ni mkuu kuliko Yona lakini hamkutubu"