sw_tn/luk/11/27.md

20 lines
671 B
Markdown

# Habari ya Jumla
Huu ni mkatizo wa mafindisho wa Yesu. Mwanamke aliongea baraka na Yesu akajibu.
# Ilitokea
Kifungu hiki kinatumika kuonyesha tukio muhimu katika historia. Kama lugha yako ina njia ya kufanya hii, unaweza ukatumia hapa.
# aliyepasa sauti yake kwenye mkutano
"aliongea kwa sauti iliyozidi kelele za umati"
# Limebarikiwa tumbo lililo kuzaa na matiti ulioyanyonya
Sehemu ya mwili wa mwanamke ilitumika kuwakilisha mwanamke. " Ana heri kiasi gani yule mama aliyekuzaa na kukunyonyesha kwenye matiti yake" au " Ana furaha iliyoje yule mwanamke aliyekuzaa na kukunyonyesha kwenye matiti yake"
# lakini, wamebarikiwa wale
" Ni vizuri zaidi kwa wale "