sw_tn/luk/11/27.md

671 B

Habari ya Jumla

Huu ni mkatizo wa mafindisho wa Yesu. Mwanamke aliongea baraka na Yesu akajibu.

Ilitokea

Kifungu hiki kinatumika kuonyesha tukio muhimu katika historia. Kama lugha yako ina njia ya kufanya hii, unaweza ukatumia hapa.

aliyepasa sauti yake kwenye mkutano

"aliongea kwa sauti iliyozidi kelele za umati"

Limebarikiwa tumbo lililo kuzaa na matiti ulioyanyonya

Sehemu ya mwili wa mwanamke ilitumika kuwakilisha mwanamke. " Ana heri kiasi gani yule mama aliyekuzaa na kukunyonyesha kwenye matiti yake" au " Ana furaha iliyoje yule mwanamke aliyekuzaa na kukunyonyesha kwenye matiti yake"

lakini, wamebarikiwa wale

" Ni vizuri zaidi kwa wale "