# Habari ya Jumla Huu ni mkatizo wa mafindisho wa Yesu. Mwanamke aliongea baraka na Yesu akajibu. # Ilitokea Kifungu hiki kinatumika kuonyesha tukio muhimu katika historia. Kama lugha yako ina njia ya kufanya hii, unaweza ukatumia hapa. # aliyepasa sauti yake kwenye mkutano "aliongea kwa sauti iliyozidi kelele za umati" # Limebarikiwa tumbo lililo kuzaa na matiti ulioyanyonya Sehemu ya mwili wa mwanamke ilitumika kuwakilisha mwanamke. " Ana heri kiasi gani yule mama aliyekuzaa na kukunyonyesha kwenye matiti yake" au " Ana furaha iliyoje yule mwanamke aliyekuzaa na kukunyonyesha kwenye matiti yake" # lakini, wamebarikiwa wale " Ni vizuri zaidi kwa wale "