sw_tn/luk/11/24.md

575 B

mahali pasipo maji

"Hii inamaanisha "sehemu ya ukiwa", mahali ambapo roho mbaya hurandaranda .

akikosa

"kama roho hakupata sehemu ya kupumzika"

nyumba yangu nilikotokea

Hii inamaanisha mtu yule ambaye alikuwa anakaa kwake. "mtu ambaye nilikuwa nikikaa kwake"

na kukuta nyumba imefagiliwa na imekaa vizuri

"akaikuta mtu alifagia nyumba na kuwa safi na kuweka kila kitu mahali pake " au " kumkuta mtu kama nyumba iliyosafishwa na kupangiliwa vizuri"

imefagiliwa

"tupu" Mfano huu inamaanisha hali ambayo mtu hakujazwa Roho wa Mungu baada ya mapepo kuondoka.