sw_tn/luk/11/24.md

20 lines
575 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mahali pasipo maji
"Hii inamaanisha "sehemu ya ukiwa", mahali ambapo roho mbaya hurandaranda .
# akikosa
"kama roho hakupata sehemu ya kupumzika"
# nyumba yangu nilikotokea
Hii inamaanisha mtu yule ambaye alikuwa anakaa kwake. "mtu ambaye nilikuwa nikikaa kwake"
# na kukuta nyumba imefagiliwa na imekaa vizuri
"akaikuta mtu alifagia nyumba na kuwa safi na kuweka kila kitu mahali pake " au " kumkuta mtu kama nyumba iliyosafishwa na kupangiliwa vizuri"
# imefagiliwa
"tupu" Mfano huu inamaanisha hali ambayo mtu hakujazwa Roho wa Mungu baada ya mapepo kuondoka.