sw_tn/luk/11/18.md

1.2 KiB

kama shetani takuwa amegawanyika

"Shetani" hapa inawakilisha wale mapepo waliojiunga na Shetani kumuasi Mungu. "Kama shetani na washirika wa ufalme wake wanapigan a wao kwa wao"

ufalme wake utasimamaje?

Yesu alitumia maswali kufundisha watu. "Ufalme wa Shetani hautadumu" au "Ufalme wa shetani utaanguka na kusambaratika"

Kwasababu mwasema natoa mapepo kwa Belzebuli

Kwa sababu mwasema ni kwa nguvu ya Belzebuli nawafanya mapepo kuwaacha watu . sehemu iliyofuata ya majibu yake inaweza kutamkwa kirahisi: "hii inamaana Shetani amegawachika juu yake"

Je wenzenu wanatoa mapepo kwa njia gani?

"ni kwa nguvu ya nani wenzenu wanawaamurisha mapepo kuwaacha watu. " Yesu alitumia swali kufundisha watu.Swali la Yesu inaweza kurahisishwa, "basi ni lazima tukubaliane kuwa wenzenu pia hutumia nguvu ya Beelzebuli kuondoa mapepo". "Lakini tunajua kuwa hiyo si kweli".

wao watawahukumu ninyi

wenzenu wanao watoa mapepo kwa nguvu ya Mungu watawahukumu ninyi kwa kusema kuwa mimi natoa mapepo kwa nguvu ya Beelzebuli.

kwa kidole cha Mungu

"Kidole cha Mungu" inamaanisha ni Nguvu ya Mungu

Basi ufalme wa Mungu umewajia

"Hii inaonyesha kuwa ufalme wa Mungu umekuja kwenu"