sw_tn/luk/11/05.md

36 lines
966 B
Markdown

# Maneno yenye kuunganisha
Yesu aliendelea kufundisha wanafunzi wake juu ya maombi
# Ni nani kati yenu mwenye
Yesu alitumia maswali kuwafundisha wanafunzi wake . "Fikiria mmoja wenu anayo" au "Fikiria unayo"
# Niazime mikate mitatu
Nikopeshe mkate mitatu au nipe mikate mitatu na nitakupilia baadaye . Mwenyeji hana chakula chochote kilicho tayari cha kumpa mgeni wake.
# amenijia sasa hivi kutoka njiani
alikuwa akisafiri na sasa hivi akaja nyumbani mwangu
# sina cha kumuandalia yeye
"chakula chochote kilicho tayari cha kumpa"
# Siwezi kuamuka
"Siyo rahisi kwangu mimi kuamka"
# Nawaambia
Yesu alikuwa akiongea na wanafunzi, Neno ninyi ni wingi
# akupe mkate kwasababu wewe ni rafiki yake
Yesu aliongea na wanafunzi wake kana kwamba wao ndiyo waliokwenda kuomba mkate.
# kuendelea bila aibu
Hii inamaanisha ile hali ambayo yule mtu aliendelea kuomba mkate bila kujali kama ni wakati mwafaka wa rafiki wake kuamka katikati ya usiku na kumpa mkate