sw_tn/luk/11/05.md

966 B

Maneno yenye kuunganisha

Yesu aliendelea kufundisha wanafunzi wake juu ya maombi

Ni nani kati yenu mwenye

Yesu alitumia maswali kuwafundisha wanafunzi wake . "Fikiria mmoja wenu anayo" au "Fikiria unayo"

Niazime mikate mitatu

Nikopeshe mkate mitatu au nipe mikate mitatu na nitakupilia baadaye . Mwenyeji hana chakula chochote kilicho tayari cha kumpa mgeni wake.

amenijia sasa hivi kutoka njiani

alikuwa akisafiri na sasa hivi akaja nyumbani mwangu

sina cha kumuandalia yeye

"chakula chochote kilicho tayari cha kumpa"

Siwezi kuamuka

"Siyo rahisi kwangu mimi kuamka"

Nawaambia

Yesu alikuwa akiongea na wanafunzi, Neno ninyi ni wingi

akupe mkate kwasababu wewe ni rafiki yake

Yesu aliongea na wanafunzi wake kana kwamba wao ndiyo waliokwenda kuomba mkate.

kuendelea bila aibu

Hii inamaanisha ile hali ambayo yule mtu aliendelea kuomba mkate bila kujali kama ni wakati mwafaka wa rafiki wake kuamka katikati ya usiku na kumpa mkate