# Maneno yenye kuunganisha Yesu aliendelea kufundisha wanafunzi wake juu ya maombi # Ni nani kati yenu mwenye Yesu alitumia maswali kuwafundisha wanafunzi wake . "Fikiria mmoja wenu anayo" au "Fikiria unayo" # Niazime mikate mitatu Nikopeshe mkate mitatu au nipe mikate mitatu na nitakupilia baadaye . Mwenyeji hana chakula chochote kilicho tayari cha kumpa mgeni wake. # amenijia sasa hivi kutoka njiani alikuwa akisafiri na sasa hivi akaja nyumbani mwangu # sina cha kumuandalia yeye "chakula chochote kilicho tayari cha kumpa" # Siwezi kuamuka "Siyo rahisi kwangu mimi kuamka" # Nawaambia Yesu alikuwa akiongea na wanafunzi, Neno ninyi ni wingi # akupe mkate kwasababu wewe ni rafiki yake Yesu aliongea na wanafunzi wake kana kwamba wao ndiyo waliokwenda kuomba mkate. # kuendelea bila aibu Hii inamaanisha ile hali ambayo yule mtu aliendelea kuomba mkate bila kujali kama ni wakati mwafaka wa rafiki wake kuamka katikati ya usiku na kumpa mkate