sw_tn/luk/11/03.md

474 B

Maneno yenye kuunganisha

Yesu aliendelea kuwafundisha wanafunzi wake namna ya kuomba.

mkate wetu wa kila siku

Mkate ni chakula cha gharama ambacho huliwa na watu kila siku

Utusamehe makosa yetu

"Utusamehe kwa kufanya dhambi kinyume na wewe" au "Tusamehe dhambi zetu"

Kama nasi tunavyo wasamehe

Kwasbabu nasi tunawasamehe

Waliotukosea

wale waliofanya makosa juu yetu au waliotutendea mambo mabaya

Usituongoze katika Majaribu

Tuongoze mbali na majaribu