# Maneno yenye kuunganisha Yesu aliendelea kuwafundisha wanafunzi wake namna ya kuomba. # mkate wetu wa kila siku Mkate ni chakula cha gharama ambacho huliwa na watu kila siku # Utusamehe makosa yetu "Utusamehe kwa kufanya dhambi kinyume na wewe" au "Tusamehe dhambi zetu" # Kama nasi tunavyo wasamehe Kwasbabu nasi tunawasamehe # Waliotukosea wale waliofanya makosa juu yetu au waliotutendea mambo mabaya # Usituongoze katika Majaribu Tuongoze mbali na majaribu