sw_tn/luk/11/03.md

24 lines
474 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maneno yenye kuunganisha
Yesu aliendelea kuwafundisha wanafunzi wake namna ya kuomba.
# mkate wetu wa kila siku
Mkate ni chakula cha gharama ambacho huliwa na watu kila siku
# Utusamehe makosa yetu
"Utusamehe kwa kufanya dhambi kinyume na wewe" au "Tusamehe dhambi zetu"
# Kama nasi tunavyo wasamehe
Kwasbabu nasi tunawasamehe
# Waliotukosea
wale waliofanya makosa juu yetu au waliotutendea mambo mabaya
# Usituongoze katika Majaribu
Tuongoze mbali na majaribu