sw_tn/luk/10/38.md

28 lines
706 B
Markdown

# Taarifa kamili
Yesu anakuja kwenye nyumba ya Matha ambapo dada yake Mariam akawa akimsikiliza Yesu kwa umakini mkubwa.
# sasa
Neno hili limetumika mahali hapa kuonesha tukio jipya
# walipokuwa wakisafiri,
"Kama ambavyo Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakisafiri"
# kijiji fulani
Hii inatambulisha kijiji kama sehemu mpya,lakini hapakupewa jina.
# mwanamke mmoja jina lake Matha
Hii inamtambulisha Matha kama mhusika mpya. Pengine lugha yako ikawa na namna nyingine ya kumtambulisha mtu mpya.
# alikaa miguuni mwa Bwana
Hii ilikuwa kawaida na yenye heshima kwa mtu anayetaka kujifunza kwa mda ule. AT:" alikaa kwenye sakafu"
# na kusikiliza neno lake
AT: "Na akasikiliza Mafundisho ya Bwana"