sw_tn/luk/10/38.md

706 B

Taarifa kamili

Yesu anakuja kwenye nyumba ya Matha ambapo dada yake Mariam akawa akimsikiliza Yesu kwa umakini mkubwa.

sasa

Neno hili limetumika mahali hapa kuonesha tukio jipya

walipokuwa wakisafiri,

"Kama ambavyo Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakisafiri"

kijiji fulani

Hii inatambulisha kijiji kama sehemu mpya,lakini hapakupewa jina.

mwanamke mmoja jina lake Matha

Hii inamtambulisha Matha kama mhusika mpya. Pengine lugha yako ikawa na namna nyingine ya kumtambulisha mtu mpya.

alikaa miguuni mwa Bwana

Hii ilikuwa kawaida na yenye heshima kwa mtu anayetaka kujifunza kwa mda ule. AT:" alikaa kwenye sakafu"

na kusikiliza neno lake

AT: "Na akasikiliza Mafundisho ya Bwana"