# Taarifa kamili Yesu anakuja kwenye nyumba ya Matha ambapo dada yake Mariam akawa akimsikiliza Yesu kwa umakini mkubwa. # sasa Neno hili limetumika mahali hapa kuonesha tukio jipya # walipokuwa wakisafiri, "Kama ambavyo Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakisafiri" # kijiji fulani Hii inatambulisha kijiji kama sehemu mpya,lakini hapakupewa jina. # mwanamke mmoja jina lake Matha Hii inamtambulisha Matha kama mhusika mpya. Pengine lugha yako ikawa na namna nyingine ya kumtambulisha mtu mpya. # alikaa miguuni mwa Bwana Hii ilikuwa kawaida na yenye heshima kwa mtu anayetaka kujifunza kwa mda ule. AT:" alikaa kwenye sakafu" # na kusikiliza neno lake AT: "Na akasikiliza Mafundisho ya Bwana"