sw_tn/luk/10/33.md

32 lines
953 B
Markdown

# Lakini msamaria mmoja
Hii inatambulisha mtu mpya kwenye simulizi bila ya kutaja jina lake. Tunajua tu ya kuwa alikuwa msamaria . Wayahudi walikuwa wakiwadharau wasamaria na walikuwa wakimudhania ya kuwa hatamsaidia yule myahudi aliekuwa ameumizwa.
# Alipomuona
"Baada ya msamaria kumuona yule mtu aliekuwa ameumizwa"
# Alisukumwa kwa huruma
"Akamuonea huruma"
# Akamfunga vidonda vyake, akavimwagia mafuta na divai.
Angekuwa ameweka yale mafuta na divai kwenye vidonda vyake, AT:" akaweka divai na mafuta kwenye vidonda na akavisokota kwenye nguo"
# Akavimwagia mafuta na divai
Divai ilitumika kusafisha vidonda na mafuta yalitumika kuzuia kudhuriwa kwa vidonda
# Mnyaama wake
"Mnyama wake mwenyewe". Huyu alikuwa mnyamaambaye alitumika kubeba mizigo mizito. inasemekana alikuwa punda.
# Dinari mbili
"Mshahara wa siku mbili". Denari ni umoja wa denari.
# Mwenyeji wake.
" Mwangalizi wake" au "mtu ambaye alimtunza na kuwa akribu naye"