sw_tn/luk/10/33.md

953 B

Lakini msamaria mmoja

Hii inatambulisha mtu mpya kwenye simulizi bila ya kutaja jina lake. Tunajua tu ya kuwa alikuwa msamaria . Wayahudi walikuwa wakiwadharau wasamaria na walikuwa wakimudhania ya kuwa hatamsaidia yule myahudi aliekuwa ameumizwa.

Alipomuona

"Baada ya msamaria kumuona yule mtu aliekuwa ameumizwa"

Alisukumwa kwa huruma

"Akamuonea huruma"

Akamfunga vidonda vyake, akavimwagia mafuta na divai.

Angekuwa ameweka yale mafuta na divai kwenye vidonda vyake, AT:" akaweka divai na mafuta kwenye vidonda na akavisokota kwenye nguo"

Akavimwagia mafuta na divai

Divai ilitumika kusafisha vidonda na mafuta yalitumika kuzuia kudhuriwa kwa vidonda

Mnyaama wake

"Mnyama wake mwenyewe". Huyu alikuwa mnyamaambaye alitumika kubeba mizigo mizito. inasemekana alikuwa punda.

Dinari mbili

"Mshahara wa siku mbili". Denari ni umoja wa denari.

Mwenyeji wake.

" Mwangalizi wake" au "mtu ambaye alimtunza na kuwa akribu naye"