# Lakini msamaria mmoja Hii inatambulisha mtu mpya kwenye simulizi bila ya kutaja jina lake. Tunajua tu ya kuwa alikuwa msamaria . Wayahudi walikuwa wakiwadharau wasamaria na walikuwa wakimudhania ya kuwa hatamsaidia yule myahudi aliekuwa ameumizwa. # Alipomuona "Baada ya msamaria kumuona yule mtu aliekuwa ameumizwa" # Alisukumwa kwa huruma "Akamuonea huruma" # Akamfunga vidonda vyake, akavimwagia mafuta na divai. Angekuwa ameweka yale mafuta na divai kwenye vidonda vyake, AT:" akaweka divai na mafuta kwenye vidonda na akavisokota kwenye nguo" # Akavimwagia mafuta na divai Divai ilitumika kusafisha vidonda na mafuta yalitumika kuzuia kudhuriwa kwa vidonda # Mnyaama wake "Mnyama wake mwenyewe". Huyu alikuwa mnyamaambaye alitumika kubeba mizigo mizito. inasemekana alikuwa punda. # Dinari mbili "Mshahara wa siku mbili". Denari ni umoja wa denari. # Mwenyeji wake. " Mwangalizi wake" au "mtu ambaye alimtunza na kuwa akribu naye"