sw_tn/luk/10/25.md

992 B

Sentensi unganishi

Yesu anajibu kwa kutumia simuilizi kwa mwalimu wa kiyahudi ambaye alitaka kumujaribu Yesu.

Tazama, mwalimu fulani

Hii pia ilitokea kwa wakati fulani, AT: "Siku moja Yesu alipokuwa akiwafundisha watu, Mwalimu fulani"(UDB)

Tazama

Hii inatupeleka moja kwa moja kwa mtu mpya katika simulizi. Pengine lugha yako ikawa ina namna ya kufanya hivi.

Alimujaribu

"Kumchanganya"

Kimeandikwa nini katika sheria?

Yesu anatumia mfano kumfundisha huyu Mwalimu wa kiyahudi. AT: "niambie ni nini Musa aliandika kwenye sheria"

Unaisoma je?

"Umesoma nini ndani yake?" au "Unaelewa nini ambacho unaweza sema?"

Lazima umpende.... jirani kama wewe mwenyewe

Mtu yule(myahudi) ananukuu kile Musa alichoandika kwenye sheria.

Moyo wako.....roho yako....nguvu zako...akili yako

Yote hii inamaanisha ya kuwa mtu lazima ampende Mungu kikamilifu na kila kitu chake

Jirani yako

Hii inamaanisha mtu aliepo katika jamii yako. AT: "raia mwenzako" au "watu wa jamii yako".