sw_tn/luk/10/25.md

36 lines
992 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anajibu kwa kutumia simuilizi kwa mwalimu wa kiyahudi ambaye alitaka kumujaribu Yesu.
# Tazama, mwalimu fulani
Hii pia ilitokea kwa wakati fulani, AT: "Siku moja Yesu alipokuwa akiwafundisha watu, Mwalimu fulani"(UDB)
# Tazama
Hii inatupeleka moja kwa moja kwa mtu mpya katika simulizi. Pengine lugha yako ikawa ina namna ya kufanya hivi.
# Alimujaribu
"Kumchanganya"
# Kimeandikwa nini katika sheria?
Yesu anatumia mfano kumfundisha huyu Mwalimu wa kiyahudi. AT: "niambie ni nini Musa aliandika kwenye sheria"
# Unaisoma je?
"Umesoma nini ndani yake?" au "Unaelewa nini ambacho unaweza sema?"
# Lazima umpende.... jirani kama wewe mwenyewe
Mtu yule(myahudi) ananukuu kile Musa alichoandika kwenye sheria.
# Moyo wako.....roho yako....nguvu zako...akili yako
Yote hii inamaanisha ya kuwa mtu lazima ampende Mungu kikamilifu na kila kitu chake
# Jirani yako
Hii inamaanisha mtu aliepo katika jamii yako. AT: "raia mwenzako" au "watu wa jamii yako".