# Sentensi unganishi Yesu anajibu kwa kutumia simuilizi kwa mwalimu wa kiyahudi ambaye alitaka kumujaribu Yesu. # Tazama, mwalimu fulani Hii pia ilitokea kwa wakati fulani, AT: "Siku moja Yesu alipokuwa akiwafundisha watu, Mwalimu fulani"(UDB) # Tazama Hii inatupeleka moja kwa moja kwa mtu mpya katika simulizi. Pengine lugha yako ikawa ina namna ya kufanya hivi. # Alimujaribu "Kumchanganya" # Kimeandikwa nini katika sheria? Yesu anatumia mfano kumfundisha huyu Mwalimu wa kiyahudi. AT: "niambie ni nini Musa aliandika kwenye sheria" # Unaisoma je? "Umesoma nini ndani yake?" au "Unaelewa nini ambacho unaweza sema?" # Lazima umpende.... jirani kama wewe mwenyewe Mtu yule(myahudi) ananukuu kile Musa alichoandika kwenye sheria. # Moyo wako.....roho yako....nguvu zako...akili yako Yote hii inamaanisha ya kuwa mtu lazima ampende Mungu kikamilifu na kila kitu chake # Jirani yako Hii inamaanisha mtu aliepo katika jamii yako. AT: "raia mwenzako" au "watu wa jamii yako".