sw_tn/luk/10/23.md

489 B

Akawageukia wanafunzi, akasema kwa siri,

Yawezekana hii ilikuwa katika wakati fulani. AT: "badaye, ambapo wanafunzi wakewalikuwa peke yao pamoja naye, akasema"

Wamebarikiwa wavionavyo vitu mvionavyo

Pengine hii ilikuwa na maana kwa watu wote waliokuwa wamekuja kumsikiliza Yesu AT: "Ni jinsi gani ilivyo vyema kwa wale wanaoona vitu mnavyoviona".

Vitu hivi mvionavyo

"Vitu ambavyo mmeniona mimi nikivifanya"

Vitu hivi mvisikiavyo

"Vitu ambavyo mmenisikia mimi nikiviongea".