sw_tn/luk/10/23.md

16 lines
489 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Akawageukia wanafunzi, akasema kwa siri,
Yawezekana hii ilikuwa katika wakati fulani. AT: "badaye, ambapo wanafunzi wakewalikuwa peke yao pamoja naye, akasema"
# Wamebarikiwa wavionavyo vitu mvionavyo
Pengine hii ilikuwa na maana kwa watu wote waliokuwa wamekuja kumsikiliza Yesu AT: "Ni jinsi gani ilivyo vyema kwa wale wanaoona vitu mnavyoviona".
# Vitu hivi mvionavyo
"Vitu ambavyo mmeniona mimi nikivifanya"
# Vitu hivi mvisikiavyo
"Vitu ambavyo mmenisikia mimi nikiviongea".