# Akawageukia wanafunzi, akasema kwa siri, Yawezekana hii ilikuwa katika wakati fulani. AT: "badaye, ambapo wanafunzi wakewalikuwa peke yao pamoja naye, akasema" # Wamebarikiwa wavionavyo vitu mvionavyo Pengine hii ilikuwa na maana kwa watu wote waliokuwa wamekuja kumsikiliza Yesu AT: "Ni jinsi gani ilivyo vyema kwa wale wanaoona vitu mnavyoviona". # Vitu hivi mvionavyo "Vitu ambavyo mmeniona mimi nikivifanya" # Vitu hivi mvisikiavyo "Vitu ambavyo mmenisikia mimi nikiviongea".